Viongozi wa nchi za Kiisilamu kwa mara nyingine zaidi wameonesha wazi utu wao na unyenyekevu wao mbele ya Umoja wa Mataifa (UN) kwa kukubali kufuata matakwa ya Umoja wa Mataifa (UN resolutions)
dhidi ya ardhi na maisha ya waisilamu, kama Iraq, Afgahanistani, Palestina. Kwa fahamu zao kamili kuwa vizuwizi vya uchumi kwa nchi hizo zitawaathiri wanyonge, wanawake, watoto na wazee wasiojiweza. Kwa kutoa ardhi na anga ya waisilimu kwa makafiri ilikumwaga damu za ndugu zetu waisilamu.
Kwa kufanya hivyo, viongozi hao wa Kiisilamu wanatii amri na matakwa ya Baraza la Ulinzi la Makafiri (UN Security Coucil) dhidi ya waiislamu kwa uwazi na kuonesha unyenyekevu wao mbele ya Umoja wa Mataifa (UN). Utiifu huo ni wazi kuwa hawakubali kuwa Taa na unyenyekevu ni kwake Allah (sw) pekee bila ya kumshirikisha yeyetu katika uwamuzi wake, kama alivyosema katika Qur-aan karim.
ان الحكم إلالله أمر ألاتعبدواإلا إياه ذلك الدين القيم ولكن أكثر الناس لايعلمون
“Haikuwa hukumu ila ni yake Allah, ameamrisha msimuabudu (msimtii) yeyote isipokuwa yeye tu, na hii ndio njia (dini, suluhu) iliyo sawa, lakini watu wengi hawajui” (Yusuf : 40)
Tangu Umoja wa Mataifa (United Nations) iundwe mwaka 1945, imetumiliwa na inaendelea kutumiwa na wakoloni hususan Amerika ili kuendeleza ukoloni na utawala wao duniani. Umoja wa Mataifa (UN) imeundwa kwa fikira za kikafiri ambazo ni kuzuia nguvu nyingine yeyote itakayo jitokeza hususan Uisilamu kama Utawala na Mfumo kamilia wa Maisha. Pia Makafiri kwa kutumia guo la Umoja wa Mataifa (UN) na sheria zake za kimataifa, zinalingania mfumo mpya wa dunia “New world order” ambao (ubepari) unatimiza utawala wa kikoloni na madhalimu yao na kukandamiza uisilamu. Umoja wa Mataifa (UN) inaendesha hiyo kampeni ya Mfumo mpya wa maisha duniani “New world order” (ubepari) kwa kuruhusu nchi za kikoloni (kikafiri) kutekeleza mahitaji yao kwa kupitia Baraza la Ulinzi la Kimataifa (UN Security Council) ambalo linawawezasha kupitisha mahitaji yao duniani. Hakuna watu walotaabika zaidi kwenye mikono ya Umoja wa Mataifa (UN) kuliko umati wa kiisilamu. Maaduai wa waisilamu wanatumia Umoja wa Matiafa (UN) kwa kuzitenganisha ardhi za waisilamu kama vile Bangaladeshi kuwa mbali na Pakistani na Kashimiri. Ugawanyo wa Indonesia na mipango ya kuigawanya Iraq.
Zaidi, Umoja wa Mataifa (UN) imetumiwa na Makafiri kwa kupandikiza mziz mkuu wa hatari katika moyo wa umati wa waisilamu kwa kuiunda nchi ya Israili na kuisaidia kuwepo kwake kwa sheria za kimataifa kwa niaba yake. Umoja wa Mataifa (UN) pia imehusika zaidi katika kuongoza Makafiri juu ya kuzitenganisha ardhi ya waisilamu na waisilamu kwa kuwaekea vikwazo vya uchumi (Iraq, Libya, Sudan, Iran na Afghanistani) ambapo muisilamu wa Egypt, Siria na Jordan hawezi kumsaidia ndugu yake muisilamu wa Palestina dhidi ya unyanywasaji na Israili. Umoja wa Mataifa (UN) imetumiliwa na hao hao makafiri kwa kuruhusu uvamizi wa Somalia na Amerika na ubomiji wa Iraq tangu vita vya Gulf (Gulf War).
Lakini mbali ya ushahidi wote huo uliowazi mblele ya umati wa waisilamu kuwa Umoja wa Matiafa (UN) ni guo linalotumiwa na makafiri na ni adui wa wazi wa isilamu, tunaona Viongozi wetu waisilamu bado wanaing’ang’ania na kuinyenyekea Umoja wa matiafa (UN) na sheria zake dhidi ya waisilamu, na pia wanarudi huko huko kwa ufumbuzi juu ya masuala ya waisilamu.
Hali hii ni Ujasusi uliowazi wa kisiasa kuweka masuala ya umati huu wakiisilamu katika mikono ya makafiri ambao lengo lao ni kuutokomeza kabisa Uisilamu duniani. Umati wa Kiisalamu unajitosheleza kikamilifu kwa idadi, uchumi, madini, nguvu na uwezo wa kutatua masuala yao wenyewe ya kimaisha. Lakini bado tu tunashuhudia Viongozi wetu wananyenyekea na kuudhalilisha umati huu wakiisilamu wa Muhammad (saw) mbele ya mabwana zao Makafiri.
Uisilamu unawakana na kuwaharaishia waisilamu kurudisha (kupeleka) malalamiko au masuala yao kwenye Utawala wa Kikafiri kwa kuhitaji suluhu za makafiri juu ya mambo yao ya maisha. Allah (sw) anasema katika Qur-aan kuwa:
ولن يجعل الله للكافرين على المؤمنين سبيلا
“Kabisa Allah haruhusu makafiri kuwa ni waamuzi (na mamlaka) juu ya masuala ya waumini (waisilamu)” (Nisaa : 141)
Kwa hivyo ni Haramu kuhusisha Umoja wa Mataifa (UN) katika kutatua masuala ya kisiasa na kimaisha ya Umati wa Uisilamu popote duniani, ikiwa Kashimiri, Palestina, Iraq au Zanzibar. Na ni Haramu kwa waisilamu kuomba kiti katika Baraza la Ulinzi la Umoja wa Mataifa (UN Security Council) au kuwa wanachama wa jumuia hiyo. Viongozi wa waisilamu lazima waache madai yao kuwa wanafatilia na kuchunga masuala ya Waisilamu hali ya kuwa wanamuasi Allah (sw) hadharani kwa kuhitaji ufumbuzi kutoka ukafirini kwa Umoja wa Mataifa (UN). Allah (sw) anasema katika Qur-aan kuwa:
ألم ترإلى الذين يزعمون أنهم ءامنوا بما أنزل إليك وما أنزل من قبلك يريدون أن يتحاكمواإلى الطا غوت وقدأمرواأن يكفروابه ويريدالشيطان أن يضلهم ضلا ل بعيدا
“Je, huwaoni wale wanaodai kwamba wameamini yale tuliyoteremsha kwako (Qur-aan) na yale tuliyoteremshwa kabla yako, na wanataka wahukumiwe kwa njia (suluhu) ya taghuti (Kufru) na hali wameamrishwa kukataa njia (suluhu) hiyo. Na shetani anataka kuwapoteza upotofu ulio mbali (na haki)”. (Nisaa : 60).

Enyi Ndugu waisilamu!
Umati huu wa Kiisilamu bila ya kuwa na utawala mikoni mwao na hukumu za Allah (sw) kusimamishwa na kutatua matatizo yao kwa kufuata maamrisho ya Mola wao na kuto mtii yeyote au jumuia yeyote isipokuwa Allah (sw) na Mtume wake Muhammad (saw), umati wakiisilamu utatawaliwa na makafiri kwa kupitia Umoja wa Mataifa (UN) na viongozi ambao wapo tayari kuitumikia jumuia hiyo ilikujipatia masilaha yao binafsi na bila kujali ya waisilamu. Kwa hivyo ni lazima na Fardhi kwa umati wa kiisilamu kusimamisha utawala wa Kiisilamu (Khilafah Rashidah) ambao itakuwa na himaya na uwezo wa kuuhifadhi na kuchunga masilahi ya umati wa kiisilamu kwa kufuata maarisho ya Mola wao kama alivyo sema Bwana Mtume (saw) kutoka kwa imamu Muslim ya kuwa :“Unganeni, Kiongozi (imamu) ni ngao ambayo nyuma yake waisilamu wanapigania haki zao na kujikinga na maadui zao”. (muslim).
Kiongozi (Khalifah) ndie pekee atakae uunganisha umati wa kiisilamu na kurudisha udugu wao baada ya muda mrefu kutenganishwa na makafiri. Khalifah ndie pekee atakaye weza kuutoa umati huu wakiisilamu katika uwanachama wa jumuia hiyo (UN) ya utumwa, unyanyaswaji, udhalilishwaji na unyonge inayotekeleza matakwa ya makafiri kwa kupitia mawakilishi wao waliowaeka madarakani katika ardhi za waisilamu, na ndie atakaye dhihirisha maovu na madhalimu yanaoyofanywa na jumuia hiyo ya kimataifa katika ulimwengu na kuwaalika watu (non-muslims) kufuata dini ya Allah (sw) na kumtii Allah na Mtume wake pekee bila ya kumshirikisha na kiumbe au jumuia yeyote. Khalifah ndie atakaerejesha kwa mara nyingine tena hadhi, utu, nguvu. taqwa na ubora wa umati huu wakiisilamu kuliko umati zingine kama alivyosema Mola (sw) katika Qur-aan karimu :
كنتم خير أمة أخرجت للناس تأمرون بالمعروف وتنهون عن المنكر وتؤمنون بالله
“ Nyinyi ni umati bora kuliko umma zote zilizodhihirishwa kwa watu, mnaamrisha mema na kukataza mabaya na munamuamini Mwenyezi Mungu..”(imrani :110).
Enyi Umma wakiisilamu!
Tunakuiteni kwenye unyenyekevu wa Mola wenu na Mtume wake (saw). Acheni wito na unyenyekevu kwa watu na jumuia zao ambazo chimbuko lake ni fikira za Kikafiri na itikieni wito wa Mola wenu na Mtume wake. Mola ambaye amekupeni uhai na fahamu kamili kama anvyo sema Allah (sw) katika Qur-aan :
يأيها الذين ءامنوااستجيبوالله وللرسول إذادعا كم لما يحييكم
“Enyi mlioamini, itikieni wito wa Mola wenu na Mtume wake (kwa kufuata sheria zake) kwa yale yatakayokupeni uhai mzuri…”(Anfal: 24).
Oh Allah! shuhudia kuwa tumefikisha onyo lako